K KAMBAKO Member Dec 18, 2011 11 0 Mar 19, 2012 #1 Nilikuwa zanzibar pale bububu nikaletewa kungu. Nikauliza za nini? "zalegeza macho ya akina dada ati". Nikauliza, "sasa nikila mie," "utalegeza ya kwako ati"
Nilikuwa zanzibar pale bububu nikaletewa kungu. Nikauliza za nini? "zalegeza macho ya akina dada ati". Nikauliza, "sasa nikila mie," "utalegeza ya kwako ati"