Sirikali imechelewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sirikali imechelewa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kayinga junior, Mar 19, 2012.

 1. K

  Kayinga junior Senior Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nasikia usipotoa usahihi juu ya akaunti yako benki pesa ninazimwa kama za DECI,utaulizwa:1 nani alikushauri akaunti?2 ulipata wapi akaunti?3 hela ya chengi ya radi na dowans laki ngapi? 4we ni wangapi kumiliki vijisenti kwenye ukoo?5 majambazi wanajua kwamba unatunza hela?6 namba yako siri ? nimambo mengi saana orodha nindefu hadi ujichanganyetu
   
 2. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,129
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Utani wako umeupeleka mbali mno kwenye miiba!
   
 3. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Teh teh teh!
  Acha waifunge. Nimeshakomba zote nimewaachia mia 750 tu.
   
Loading...