Tanesco wamechukua.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco wamechukua....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kaeso, Mar 20, 2012.

 1. k

  kaeso JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hawa jamaa wamechukua chao mapema....ndani hakukaliki, nje mbwa tu wanabweka. Labda hapa JF kutakuwa na jipya kabla sijalala.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  huku uswahilini kwetu nishawazoea...... Wanakata wanarudisha wanakata wanarudisha sasa wamekata....

  Yaani wanafanya kama mtoto wa chekechea amefuma switch anachezea.....
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...wameshawaambia mitambo imechakaa!...LOL
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa poleni sana.....Kuna baadhi ya maeneo tushazoea na hata hatulalamiki tena
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kaeso,
  Unajua kuna mashirika mengine ukitutajia hapa, unatusababishia
  expensis demand unnecessary!
  Mfano hapa umetaja Tanesco, nimelazimika kutoka na usiku huu kwenda kununua Ndimu nilambe kufuatia kichefuchefu cha ghafla kilichonipata mara tu,
  baada ya kuona neno Tanesco.
  Ndimu za mia mbili, aisey!
  Si ningenunua hata majani ya Chai ?
   
 6. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Huo unaitwa MGAO BARIDI
   
Loading...