Kwa enzi za utoto Hapa hukwepi!!

Kwa enzi za utoto Hapa hukwepi!!

kajoli.com

Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
42
Reaction score
5
:crazy:Kama kawaida kajoli mzee wa uchunguzi, leo nakuja na tabia za utotoni kwa watu tofauti,
na ninakuhakikishia katika sifa hizi kumi lazima wewe ulikuwa nazo kadhaa.
Unaweza ku like kama ulipitia hatua mojawapo.
​

  1. Ulishacheza kibaba babaa/ kimama mamaa
  2. Ulikuwa mwizi wa sukari
  3. wakati wa sikukuu usiponunuliwa nguo mpya unalia
  4. Ulishadanganya unaumwa ili tu, usiende shule
  5. ulishapangusa kamasi kwa shati la shule au mkononi (pakuvalia saa)
  6. Ulishawahi kulia kisa umelazimishwa kuoga
  7. Ulishanawa mikono, miguu, uso na kichwa kisa unaogopa baridi na kujidai umeoga
  8. Ulishawahi kudokoa mboga jikoni
  9. Ulicheza kombolela pamoja na kifimbo cheza
Ulikuwa kikojozzzzzzzzz
UNALO LA KUBISHA!?:lock1:
 
Asante kwa kutuhabarisha uloyafanya enzi za utoto wako.
 
Ulisha pigana ngumi saaaana za kitoto...hasa wakati wa kutoka shule,zina pangwa darasan kabla hamjatoka...weeee mnapasuana mpaka basi!
 
mbona umepitia mengi tu kasoro hilo moja, Tena nyi wa tabora badala ya kwenda shule mnakwenda gombe
au kazima kuogelea. achilia mbali wanaokwenda kigwa kwa mguu kisa maembe,
pale station ndio kabisaa watoto wakishavuta bangi, wanateremkia isevya sokoni kuiba maembe!
nitatoboa siri
 
Utafanyaje? Eti utatoboa siri?
 
Kama mtoto wa kitanzania, hili ukwepi:
1. Kulilia soda ya mgeni
2. Kujisugulia chup* wakati ukioga, kisa dodoki hamna.
3. kusubiria sabuni wanayooshea vyombo, ili ukaogee.
ukiweza kukwepa, basi chakachua
 
:crazy:Kama kawaida kajoli mzee wa uchunguzi, leo nakuja na tabia za utotoni kwa watu tofauti,
na ninakuhakikishia katika sifa hizi kumi lazima wewe ulikuwa nazo kadhaa.
Unaweza ku like kama ulipitia hatua mojawapo.
​

  1. Ulishacheza kibaba babaa/ kimama mamaa
  2. Ulikuwa mwizi wa sukari
  3. wakati wa sikukuu usiponunuliwa nguo mpya unalia
  4. Ulishadanganya unaumwa ili tu, usiende shule
  5. ulishapangusa kamasi kwa shati la shule au mkononi (pakuvalia saa)
  6. Ulishawahi kulia kisa umelazimishwa kuoga
  7. Ulishanawa mikono, miguu, uso na kichwa kisa unaogopa baridi na kujidai umeoga
  8. Ulishawahi kudokoa mboga jikoni
  9. Ulicheza kombolela pamoja na kifimbo cheza
Ulikuwa kikojozzzzzzzzz
UNALO LA KUBISHA!?:lock1:

***
namba 1 na 5 hapo daaaaah + kufanya mapenzi na shina la mgomba teh teh teh!
 
Jamani semeni ukweli mbona mnakwepa kusema; 1. Ulikuwa huvai chupi 2. Ulikuwa unachunguilia mtu akiingia chooni 3. Ulikuwa unaiba nyama kwenye chungu 4. Ulikuwa mwoga kupigana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom