mume na mke

mume na mke

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,922
Mke alichoshwa na vituko vya mumewe,akasema"bora ningeolewa na ibilisi kuliko ww" mume akamwangalia then akamjibu"dini hairuhusu mtu kuolewa na kaka yake.
 
Haaa...kwa hiyo waifu ni ndugu yake na shetani!?mweee mbavu zangu kwishney
 
Back
Top Bottom