Dawa ya penzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya penzi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by vanmedy, Mar 20, 2012.

 1. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,246
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  BABU: bila shaka wewe utakuwa mussa eeenh? Unamuulizia neema
  MUSSA: eenhe
  BABU: unajua enzi zetu za uchumba mi na bibi neema mambo yalikuwa saaafi kabisa, lakini siku hizi aaah mambo tofauti kabisa
  MUSSA: eenhe kweli kabisa
  BABU: SASA HEBU NIAMBIE JE WEWE UNATUMIA DAWA YA PEEEENZI??
  Mussa: aaah eeeh aaaah dawa ya peenzi??
  BABU: eeenhe dawa ya peeeenzi, bila shaka ndio zile mnaziita condom kama sikosei
  MUSSA: EENHE NATUMIA BABU
  Babu: ehehehehehe safi sana mussa.. Neema, Neema
  Mussa amekuuuuja
  ___________________
  HAYA TUWE WAKWELI JAMANI WANGAPI WANATUMIAGA DAWA YA PEENZI/CONDOM??
  Me kwa mke wangu hapana gusa hayo madude kabsaaaa
   
Loading...