kali kuliko

Mussa kiraka

Senior Member
Mar 4, 2012
106
13
Mshua mwenye iman za kishirikina alienda sumbawanga kuchukua waganga wa 3 waje kumfanyia mambo mipango yake ikae sawa
(katika gari binafs noah) kila mganga anatoa ujuz wake kwa mwenzie ndan ya gari wanapimana nguvu
Wa 1- akafanya mambo mvua kubwa ikawa inanyesha baada ya masaa 4 ikakata
Mshua akasema mzee noma sana
Wa 2- akatia pancha tair zote nne na gari ikawa bado inatoka nduki.
Mshua kuona hali ya kifo akamwomba mzee afanye mambo gari isipinduke. baada ya kufika chalinze kila mtu alikua amechoka na ilikua usiku wakalala kufika asubuh safar ikaendelea kila mtu akawa anaomba wafike, ile kufika ubungo yule mganga wa tatu akafanya mambo yake akasema maneno matatu tu wakajikuta wapo tena sumbawanga. mshua akazimia kwa presha na uchovu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom