Macho manne....

nelly nely

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
665
229
Jamaa alikuwa ana matatizo ya macho,alipoenda hospital alipewa miwani iliyomfanya aone vitu viwili viwili.Siku 1 alienda baa na mkewe,...baada ya muda jamaa aliamka kwenda toilet.Aliporudi suruali yake ilikuwa imelowa sana kwa mbele!mkewe akasema kwa hasira "mme wangu unaniaibisha,kwa nini umejikojolea?",jamaa kwa upole akajibu,"wife,nilipofungua zipu na kuanza kukojoa niliona MBILI zikitoa mkojo,hivyo nikaamua kuirudisha moja ndani ya suruali!
 
PART 2
Assume ingekua ni mwanamke ana tatizo then apewe miwani ya kukuza. Wakati wa tendo ndoa akivaa hiyo miwani lazima ataikimbia nyumba maana lazima ataona "mashine" ya mzee imerefuka kama "nyoka"..lol
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom