Nina Ukimwi jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina Ukimwi jamani

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Zizu, Mar 20, 2012.

 1. Zizu

  Zizu Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoto ana mchukua Baba yake kwenda kwa Daktari. Daktari anawapa habari mbaya kwamba Baba atakufa na Kansa.Baba anamwambia Mtoto hapa Duniani amekuwa na maisha mazuri ataka kupata moja baridi moja moto.

  Wakati yuko Bar anakutana na Rafiki zake na kuwaambia nini UKIMWI na si muda mrefu nitawatoka.Marafiki wanapo toka Mtoto anauliza kwa nini unawaambia una Ukimwi.

  Baba anajibu sitaki waanze kutembea na Mama yako siku nakufa.
   

  Attached Files:

 2. Decapitator

  Decapitator JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 312
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  aaaaaaaahhh what a ........................??//!!!!!!!!!!!!!!!1
   
Loading...