Wapendwa,
Mabibi na Mabwana,
Wakaka na Wadada,
Bandugu,
Bila kuhusisha itikadi za chama na kwa wale wanaopenda kujiongezea umri wa kuishi basi nawashauri msome hiki kituko cha Ndugu yetu...
Mmasai alikuwa MC msibani alipopewa kipaza sauti akasalimia "Msiba hoyeeeeeee.......maiti safiiiiiii.....amependesa au hajapendesa.....wenye wifu ife kama hii laiyoni
Mtoto wa jirani (miaka 5 anasoma chekechea) kanijia asubuhi akaniambia eti nimtafutie CHAWA na KUNGUNI ajue jinsi walivyo. Anasema wamefundishwa ubaya wa hao wadudu na wameambiwa kila mmoja...
Wanyama wangekuwa na uwezo kuwa na IDJF hizi zingekuwa post zao ChitChat.
Mende:rafiki zangu nina furaha yaani nimeupuka kijanja kukanyagwa na binadamu.
Mbu:Mi ni HIV posite baadaye ya kunyonya...
Wakati watu wanagombania kupanda kwenye basi la mbagala kama kawaida yao,
bibi mmoja alipanda bila shida akapata siti. Baada ya muda konda akamuuliza "bibi
unalia nini sasa?" Bibi akajibu...
...na mtoto wa dada yangu, yaani mjomba'angu, if you know what am I saying. Marehemu aliitwa Nelasi, binti wa miaka 10, mwanafunzi wa Shule ya Msingi Elu, Morogoro, aliumwa ghafla ugonjwa kama...
Jamaa baada ya kupinga tungi akawaza kimasaburi akaona ni bora aende kumalima nyumba ya wenyeji, ile kufika akakuta mji mzima wameungeleja kwa masaburi yake akapandwa na wasira akaanza kupinda...
HAKUNA MWANAUME KAMA KANUMBA YALETA TAFRANI!
Abiria wakiwa wametulia ndani yabasi
akaibuka msichan mmoja nakusema "hakuna mwanaume kama Kanumba"
Akadakia rafiki yake aliyekuwa kiti cha nyuma na...
wana jf naombeni ukweli juu ya hili eti kila kona ukipita watu wanasema kuwa lulu alitumwa kumuua kanumba hivyo anayejua lolote naomba anijuze huyo mtu aliyemtuma ni nani?
(Sorry for the topic name,nimekosea)Nina mdogo wangu ambaye ana aibu kupita kiasi utafikiri amerogwa yaani dogo anafikia point ya kuogopa hadi opposite sex na nimejaribu counselling bado...
hii ni habari ya kweli kabisa na ninaamini kua wengine mmeshawahi kuisikia hapa na imetokea hapa town
dereva mmoja wa taxi alikuwa kijiweni... mara akaja jamaa mmoja akiwa na mwanamke amefunga...
Atakayekubali tutoke ..kwanza nampeleka sehemu ya ukweli ataagiza kinywaji anachotaka yeye wine shampaigne etc ila asije kuwa ni mnywa pombe kali etc..atapiga mapigo anayotaka yeye hata iikibidi...
Wananchi wa mji wa Rasquere (Raskera) katika Mkoa wa Catalonia Spain jana walipiga kura ya maoni juu ya kupanda bangi kama njia ya kukabiliana na madeni yanayoukabili mji huo. Asilimia 56.3 ya...
Mabinti kadhaa wahitimu wa chuo cha uhadhiri Tabora walicompite kupata ajira ofisi fulani kuwa katibu mhitasi, baada ya mchujo washindi watatu wa mwanzo walipelekwa kwa bosi kwa ajiri ya interview...
Woman finds Aladdin's magic lamp.
She starts rubbing it.
Genie comes out as usual.
Woman looks at Genie and
asks him to grant her a wish:
I want my husband to have eyes only for me ~
I...