Alifikiri usiku unaganda!Watoto tumeamka sasa una jipya?
Dah! Mnafaidiii, Me Niko Single Girl,
MNANITAMANISHAAAAAAAAAAAAAA
MNANITAMANISHAAAAAAAAAAAAAA
MNANITAMANISHAAAAAAAAAAAAAA
Huna mvuto ndo maana upo single
Jamani wakubwa, najua wengi mpo double....so taratibu jamani, akina dada muoneshe ushirikiano mzuri...na akina kaka siyo lazima nne au sita...na kesho ipo tena tamu kuzidi leo....haya njozi njema na usiku mwema pia.....
umeniacha kwenye mataa..............
We Mtu mbona tangu jana unanisakama?
Au hujui kama nimeolewa na Bosi wako yule aliekupa tenda ya kufuga ng'ombe pale Mikocheni!
Ntakufukuza kazi,ohoo!
Umenichanganya na nimeumia mara singo tena umeolewa. Lipi kweli hapa?
We Mtu mbona tangu jana unanisakama?
Au hujui kama nimeolewa na Bosi wako yule aliekupa tenda ya kufuga ng'ombe pale Mikocheni!
Ntakufukuza kazi,ohoo!
Dah! Mnafaidiii, Me Niko Single Girl,
MNANITAMANISHAAAAAAAAAAAAAA
MNANITAMANISHAAAAAAAAAAAAAA
MNANITAMANISHAAAAAAAAAAAAAA
Dada umekwisha dada mvuto huna