JF language, so funy.

JF language, so funy.

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Jamaa baada ya kupinga tungi akawaza kimasaburi akaona ni bora aende kumalima nyumba ya wenyeji, ile kufika akakuta mji mzima wameungeleja kwa masaburi yake akapandwa na wasira akaanza kupinda ghafla akamkanumba mmoja wao, sasa jamaa wamemlowasa na jana wamemlulu sijui watamlema au watamditopile.

Ongeza maneno yako au kosoa kama umeelewa.
 
Hahahahahahaaaaa kweli ni raha sana lol
Dah tumecheka sana hapa na washirika wangu lol
 
Hiyo ni jf siasa zaidi, wengine humu Hatuelewi.
 
Umeonesha ukilaza kwa kuweka hapa ungekuwa kichwa kama ungeiweka kule jokes, ila hata hivyo we jembe kwa ubunifu umeni kikwete-kweli!
 
kijana unfikiria kwa kutumia masaburi nini? hivi tukikulusinde utatulaumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom