Vipi mawimbi ya tsunami yako shwari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi mawimbi ya tsunami yako shwari?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Profesa, Apr 11, 2012.

 1. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Naomba kuuliza jamani na kama kuna mwenye picha atujuze hali ikoje Baharini? Kuna mawimbi yeyote ya kutisha au tukio lolote?
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Wametangaza kwenye habari ya usiku huu channel 10 kwamba hali ni shwari haitatokea tena watu wasiwe na wasiwasi.
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hali naambiwa iko poa
   
 4. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,035
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  hali ni shwari...nami natarajia kupanda boti kuja dar toka zenji
   
Loading...