Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wanaume tu..! ikikutokea hii utafanyaje..!?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by driller, Apr 11, 2012.

 1. driller

  driller JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hii ni habari ya kweli kabisa na ninaamini kua wengine mmeshawahi kuisikia hapa na imetokea hapa town

  dereva mmoja wa taxi alikuwa kijiweni... mara akaja jamaa mmoja akiwa na mwanamke amefunga ninja(bai bui ifungayo mpaka machoni)..! na jamaa akaenda kumnon'goneza dereva wa taxi kua anaenda KUDINYA mzigo so kama anafahamu hotel yoyote karibu am-rush fasta..! maana alikua na ugwadu sana na mzigo..! so jamaa wa taxi akawapeleka mara moja na kupokea hela yake ya fasta fasta ambayo hakutegemea... well afta a long run akaja kugundua kua mwanamke aliyempeleka hotel na jamaa AKADINYWE ni mke wake..!( i mean ni mke wa taxi driver)... coz hakuweza kugundua sura kwa ajili ya lile ninja yule mama alilo vaa...!

  MZEE INGEKUA WEWE UMEGUNDUA HILO UNGEFANYAJE
   
 2. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,151
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Umeisha wahi kusoma vitabu vya Abunuwas mkuu! Hii imekaa ki- abunuwas zaidi mkuu.
   
 3. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,918
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Ipeleke story yako kwa marehemu KANUMBA aitolee muvi.
   
 4. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ipeleke kwenye jukwaa la jokes, ukawachekeshe wapenzi wa vituko.
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,555
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kavaa ninja sasa ningemjuaje?
  Moved
   
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  We maprossoo!!!!!
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  jukwaaa na la utani lirudishwe...hizi ndo athari sasa..
   
 8. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,918
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Hahahaaha ........ saivi sijui tutasema aipeleke kwa nani.
   
 9. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  mbona bado lipo mkuu, mwambie afungue jukwaa la michezo kule atalikuta!
   
 10. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,254
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Na huyo mwanamke hadi wanachukua taxi ya mumewe alikuwa kimya tu
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,072
  Likes Received: 1,317
  Trophy Points: 280
  Unamjua kenge maji? Sijui hata kafananaje ila niliambiwa nikiwa kiddo kuwa hana akili! Mkeo afu akivaa kininja humjui? RIP!
   
 12. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,251
  Likes Received: 269
  Trophy Points: 180
  Kanumba kama binadamu yeyote yule si vyema kumdhikahi mtu asiye na uhai tena.. Sote tutapita njia hiyo hiyo.
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,142
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 145
  sasa ufanyeje na umeshaona manyoya?
   
 14. M

  MalikwaMali Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nitamKANUMBA.
   
 15. M

  MalikwaMali Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ndio mimi nitamKANUMBA.
   
 16. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Alikuja kugundua kivipi? Kwani alienda kuwachukua huko gesti baada ya kudinyana?? Kwamba akampeleka huyo mwanamke home akajikuta anasimama nyumbani kwake??

  Kabla sijakupa ushauri wangu, weka wazi kwanza, huyo Mwanamke ni mkeo?? ili nikupe ushauri sawia.
   
 17. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ufanyeje na ameisha pigwa mti !!!!!!!
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Solution ni mi kumdinya aliyenidinyia (hata kama itakua ni kinyume na kikanuni) usiniulize ! Ikibidi nitamdinya hata atakaekua anasambaza habari ya aibu yangu hiyo.
   
 19. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,285
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  we nae unatumia masaburi! Unaropoka tu.
   
 20. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,482
  Likes Received: 400
  Trophy Points: 180
  ingekuwa ndio mimi ningemkanumbize
   
Loading...