Afya

Afya

maji ni uhai...lol...e bana mm napiga glass mbili asubuhi kabla ya swala lolote...najisikia fiti sana...
 
Taman atokee wa kunipa experiens ya kunywa maji mengi bila kula!asante kwa ujumbe maji ni uhai!
 
maji ni uhai...lol...e bana mm napiga glass mbili asubuhi kabla ya swala lolote...najisikia fiti sana...
Yan mi nilidhani lita 2...? Lol unajidai kwa ka-glass ???
Kunywa lita moja kabla hujapiga mswaki...then kaa saa nzima ndo ule cha asubuhi
 
Ni nzuri sana ingawa salamu si yangu pia nimekumiss sana dogo wetu wa ukweli

Aah sory bro, nilijua umelala mda ule, hope uko poa sana tu, mie pia nimewamiss ila ndo hvo mambo yanakaba huku.
 
Back
Top Bottom