Home Work hii imenitoa jasho....msaada!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Home Work hii imenitoa jasho....msaada!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Katavi, Apr 12, 2012.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mtoto wa jirani (miaka 5 anasoma chekechea) kanijia asubuhi akaniambia eti nimtafutie CHAWA na KUNGUNI ajue jinsi walivyo. Anasema wamefundishwa ubaya wa hao wadudu na wameambiwa kila mmoja awatafute aone wanafanana vipi, alivyowauliza wazazi wake wakamwambia aje kwangu. Nimemwambia nitamletea kesho na kumuonyesha namna walivyo. Msaada namna ya kuwapata kwa urahisi hao wadudu.....
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Waambie waende kwa Katavi atawapata....
  Lol Kumbe unawafuga eeh
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...sa si umuoneshe mtoto wa watu...kashaelekezwa kwako...!
  najua kichwani huna ila kule kati pekua utapata walau sampo...
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nashangaa wazazi wake kumwambia aje kwangu kuuliza utafikiri mimi nawafuga hao viumbe!
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nimevuruga kitanda na kupekua chaga za kitanda hakuna kitu. Makochi pia naishia kupishana na mende tu!
   
 6. by default

  by default JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tafuta walipo mbwa utapata na nenda machinjoni utapata umpelekee huyo mtt,wazaz wake wamekudhallsha
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  bo!.sio hukooo...hebu kaa kama uko kwa NGARIBA nikuoneshe...
   
 8. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mwambie asiwe anaoga wala kubadilisha nguo za ndani mpaka atakapo anza kuhisi miwasho
   
 9. S

  SI unit JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Afadhali umeanzisha uzi wa namna hii
   
 10. A

  Abuubakar New Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Looo!sasa inamaana we ndo mchafu sana au unawafuga?maana cja elewa maana ya kuambiwa aje achukue kwako.
   
 11. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...teheeee, kipo wanachokifahamu. Kama una watoto wadogo waulize.
   
 12. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Labda hao mende wanaofukuzana ndani ndo sababu ya wazazi wake waamini hata wadudu hao pia unawafuga, anza kutengeneza mazingira ya kuwapata mwambie mtoto aje baada wiki 1 utakuwa umezalisha.
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Njoo huku nikuonyeshe wanapopatikana.
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  hahahaaah!! BAGAH umepinda, huko kupo safi ajabu labda kwa watu wengine.
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nawashangaa wazazi wa huyo mtoto....
   
 16. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Duh,, Mkuu kwani unawafuga mpaka mtoto akaelekezwa kwako?
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Lete mchango wako...
   
 18. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,094
  Likes Received: 1,269
  Trophy Points: 280
  ndio maana ukapewa home work...maana hao wake sana home...watafute mkuu..huwezi jus..huenda baba yao aliwaona kwako?
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Niwafuge wa nini?? Amenidhalilisha sana mbele ya mwanae.
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Niombe radhi tafadhali....
   
Loading...