Konda -KANUMBA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Konda -KANUMBA

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by NATA, Apr 12, 2012.

 1. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  HAKUNA MWANAUME KAMA KANUMBA YALETA TAFRANI!

  Abiria wakiwa wametulia ndani yabasi
  akaibuka msichan mmoja nakusema "hakuna mwanaume kama Kanumba"

  Akadakia rafiki yake aliyekuwa kiti cha nyuma na kusema hakuna kabisa mwanume kama Kanumba!

  Mh konda kusikia akawauliza mnasemaje nyie?
  Wakaitikia wote tuna sema hakuna mwanaume kam Kanumba.
  Konda akamwamulu dereva asimamishe gari

  akawarudishia nauli yao wale wasichana na kuwaamru kwa jaziba washuke ndani ya basi lile
  Haya shukeni kwani sisi sio wanaume?

  Is it fair?
   
 2. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Alipandwa na jazba tu huyo, labda mie ningewauliza swali moja, Hakuna mwanaume kama kanumba kwenye nini? Labda walikua wanamaanisha kwenye filamu. Na pia saa nyingine kusema mwananume ni msisitizo mf " yule jamaa ni mwanaume kweli kweli' watu si tayari wanamwona ni mwanaume. ila anatoa sifa kwa jambo fulani. Kwa hiyo hata hawa wadada labda walikua wanamsifia kanumba kwenye tasnia ya filamu.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ujinga tu umewajaa (hao mabinti that is). . . Uwanaume wake wameujulia wapi kama sio umbea?
   
 4. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna rafiki yangu kaniambia mumewe kampiga marufuku kuongelea jina la Kanumba nyumbani kwake na TV IKIONYESHA mambo ya KANUMBA inazimwa . huu utakuwa wivu wa wanaume kwa the great!
   
 5. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  :noidea:
   
 6. S

  SI unit JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ***a zao
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mmh, yaani kila ukijipindua ni Kanumba tu
  Niko napika sredi langu, lazima liwafunike wote.
   
 8. S

  SI unit JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .
  Usisahau kuni"featuring"
   
 9. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kanumba
   
 10. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Wait a minute " hakuna mwanaume kama Kanumba" ebo hao mabinti mbona hawatendi haki hata kwa Baba zao? Ina maana Kanumba anamfunika Daddy wako? No way nahitaji msaada plzzzzzzzzzz
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Yale yale ya konda mnamuonea wivu the great?

  Wewe hutaandikwa hivi si umesikia hakuna kama Kanumba
   
 12. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  umekosea.. Ni "Marehemu Kanumba".
   
 13. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hayati kanumba
   
 14. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  sawasawa
   
 15. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  limebaki jina
   
 16. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  tunasubiria
   
 17. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Asante Kibongomkuti. I hope hii post yako itasomwa na wale wanaotumia neno 'mwanamke/wanawake' kama tusi au kashfa. Wanasahau kwamba mama zao ni wanawake. Tuwe waangalifu tunapo-generalise. Kumbuka: ulizaliwa na mwanamke. Halikadhalika, baba yako ni mwanamume. Mtazamo wangu!
   
 18. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  eti hakuna Mwanaume kama Kanumba???
  Anyways, mi Kidume..
   
 19. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,440
  Likes Received: 9,090
  Trophy Points: 280
  Aisee, ama kweli "JF NEVER BORING"; the boss
   
 20. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hamna mwanamke kama Lulu
   
Loading...