Hawa Mods wana mengi sana msiwaone hivyo mkawadharau…..Nazungumzia akina Invisible, Paw, Cookie (sio ile ya kupika soma vizuri), Roulette na wengineo.
. 1. Kwa mfano wanajua...
Cm iliita,
Mume:hello baby.
Mke:hello sweety.
Mume:nitachelewa kurud
leo.
Mke:nishajua uko kwa vijanajike vyako,ww
mwme
malaya km nn, nacjui
ilikuaje
nikakutaka nakuchukia km
nn ckupend...
Jamani niembeeni safari njema niko kwenye basi hapa jirani yangu anakula mahindi ya kuchoma mayai na anakunywa maziwa ya mtindi haya bila shaka. Sijui hata itakuwaje hapo badae maana safari...
ABUNUASI NA KISA CHA PUNDA..jirani yake abunuasi alikua anataka punda kwa ajil ya kusafirisha mizigo yake,akamwendeaabunuasi akamwabia jiran naomba niazimishe punda wako,abunuas akamjibu mimi sina...
Nimekuwa nikipitia avatar za wana jf leo siyo siri nyingine zimejaa vituko, nyingine zinachekesha, nyingine mHHH...
Wanaoongoza kwa kuweka avatar kali ni...
1. PROF KASAMBANDA...
"Dawa ya mba, mende, kunguni, vipele, mapunye, dawa ya mba, fangasi, vipele, mapunye" natumai wengi mshalisikia hili tangazo. Sasa juzi kati nimekutana na h ii mpya. Dawa ya kuongeza hamu ya kuoga...
Wikiend ndo hiyo jf inanipa raha! Hebu kumbuka yale mambo wazazi/wazee wako walikwambia lakini yalikuwa either funny, strange or unbelievable!
Mf 1. Wajomba zangu watatu walisoma shule darasa...
Just imagine life without GIRLS the
result ===
:Markets silent
:Streets empty
:The police at rest
:All mobile companies in loss :No SMS
:No flowers
:No candles
:No perfumes
:No travelling...
Hapa tupia utani umhusuo kijana. Nipo off leo, tired with job . .
Kichaa mmoja alikuwa amesimama ghorofani anakojoa chini. Alipopita Dr akastop kukojoa. Dr akajua amepona akamwuliza mbona...
Kupitia channel 10, mkuu wa mjengo alinaswa akimung'unya ubuyu kisha kutema kokwa, Dah kumbe mtamu! ngoja tumwambie Babu Issa wa Mkunazini azalishe kwa wingi kwa kuwa hauna kodi na unatokea...