DEVINE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 536
- 86
ABUNUASI NA KISA CHA PUNDA..jirani yake abunuasi alikua anataka punda kwa ajil ya kusafirisha mizigo yake,akamwendeaabunuasi akamwabia jiran naomba niazimishe punda wako,abunuas akamjibu mimi sina punda,jamaa akafadhaika sana akawa anatoka lkn kabla ajakwenda mbali akamsikia punda akilia toka kwa abunuasi akarudi haraka akamwambia abunuasi umesema huna punda lkn nimeskia mlio wake,abunuasi akamjibu kwan unataka punda au mlio?akimaanisha yeye ana mlio tuu lkn hana punda..