Makinda anaswa akimung'unya ubuyu wakati hotuba ya bajeti ikisomwa

Majala Kimolo

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
342
39
Kupitia channel 10, mkuu wa mjengo alinaswa akimung'unya ubuyu kisha kutema kokwa, Dah kumbe mtamu! ngoja tumwambie Babu Issa wa Mkunazini azalishe kwa wingi kwa kuwa hauna kodi na unatokea Dodoma:lol:
 
Back
Top Bottom