nani atabaki usiku...?

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
hivi mwizi akamwoa mchawi alafu wakazaa mtoto ambaye ni kahaba nani atabaki usiku nyumbani?
 
Wataanza kupeana zamu za kutoka usiku..then maisha yataenda!
 
Huyo kahaba ataanza kudate mchungaji wataombewa familia nzima afu watabadilika.
 
Itabidi abaki tu kahaba. afanyie kazi nyumbani. dau kwa

wateja iongezwe sabb yeye ndie analipa lodge. teh teh

aboreshe kazi yake atafute wateja kwa njia ya fb/jf n.k
 
mende,kunguni,mbwa,kuku,nyau,na mlinz kama watakua nao basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom