Dr. Manyau nyau ndani ya EATV sasa hivi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
nashiriki kwenye kipindi cha mboni. Anazungumzia mambo ya ushirikina na ushawi. Mia
 
anasema sio wote wanao enda kwake wamerogwa. wengine ni wale wenye iman za kichawi hata pacha akimng'ata mawazo yake anasema amerogwa mara moja anaenda kwa manyaunyau na wengine wanakuwa wamerogwa kweli. mia
 
Afu figganigga kama unazo contact za huyo Bidada Mboni, mwambie basi kunako show yake avae nguo ndefu kidogo, maanake upaja wake mtihani ! Anawaswalowisha watu miSaliva unnecessary!
 
Afu figganigga kama unazo contact za huyo Bidada Mboni, mwambie basi kunako show yake avae nguo ndefu kidogo, maanake upaja wake mtihani ! Anawaswalowisha watu miSaliva unnecessary!

nataka nimtime mda anatoka kazini pale kona ya itv. kama ntaonana naye ntamwambia. But analipa si mchezo japo kakomaa. Mia
 
Back
Top Bottom