Ongeza misamiati

Ongeza misamiati

kijembeee

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
409
Reaction score
105
long call
kukata gogo
kwenda msalani
kujisaidia
kudownload
kupunguza mzigo
kwenda uwanja wa nyumbani
SO much more...........
 
Haja ndogo- Shotcall
Haja kubwa- long call
Kujamba- misscall
 
mwangu haja kubwa anaita kutoa popo,
hata sijui aliwaza nini hadi kusema hivyo.
 
nguruwe,kitimoto,mkuu wa meza,MDUDU,mbuzi katoliki ..etc

mama,Bimzazi,Bimkubwa,
 
UNA HELA - Una mshiko,una kisu, uko njema, una majani, uko vizuri. . .
 
wowowo
ngongingo
nyuma
mkia
plate namba
booty
makalio
mpododo
inye
m.atako
kishonde
kijungu
...........
...........
 
Rununu ni simu ya mkononi
Weledi ni profesionalism
baobonya ni keyboard
Puku ni mouse.
Ngamizi ni kompyuta
.wavuti ni internet
 
Back
Top Bottom