charminglady njoo uwe wangu wa milele

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Nakuwaza sana mlimbwende, hayapatikani majibu
Ni kwanini usinipende,sipati sababu
kukupenda wewe katu sitakoma,CL unanipagawisha

Nimejaribu kukuforget,ndio kwanza nakuwaza
Ingawaje kanishauli Judgment, kukoma kukupenda katu sitoweza
kukupenda wewe katu sitokoma,CL unanipagawisha.

Nipo napambana kwa umoja, St. Paka Mweusi akiongoza
Letu lengo ni moja,kwa pamoja tutaweza
kukupenda wewe katu sitokoma,CL unanipagawisha

karibu uwe mpenzi wangu, maishani tupeane hamu
Achana na house boy wangu,njoo nikupe utamu.kukupenda wewe katu sitokoma,CL unanipagawisha
 
Last edited by a moderator:
Khaaaaaaa! Cl naona umkubali huyu mtu tupumue kidogo, mkubali jamani, kupendwa ni bahati bi dada!

cacico nafuu umekuja,naomba uunganishe nguvu kufanikisha maana ninahali ngumu sana naitaji msaada kwakweli
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom