Kuna haja ya chenji?....

kamtu33

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
999
405
Eti umeenda dukani kununua sumu ili ujiue umetoa noti ya elfu 10 kuna haja ya kudai chenji? naombeni majibu pls!
 
Chenji ni muhimu hata kama ni shilingi hamsini haiachwi, kufa na chenji vitu viwili tofauti
 
Chenji muhimu, sasa waombolezaji watapata wapi za maji ya kunywa wakimaliza kulia kabla hawajaanza kujichangisha za sanda. Tena chenji iwe ya msimbazi ili ukumbukwe kwa mengi
 
Back
Top Bottom