Mme wang lakin. . . . .

Mme wang lakin. . . . .

MagicM

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
80
Reaction score
7
Leo ni jumamoc ck ambayo mama kulwa hataisahau maishan baada ya kumfma mmewe kitandani na dada yake wa damu(wifi yake) wakila MARAHA. . . . Baada ya kuona hvy mama kulwa aliishia kusema. ."Mme wang lakin. . . . . . . " na kuzimia hapohapo. . . Baada ya kuzinduka na kuhoji kulikon wifi yake akamjibu. . . MBONA KAWAIDA YE2 KAMA HUMUHUDUMII JE. . . . ? ?

Je ungekuwa wewe ungefanya nini. . . . ? ?
 
Siku hizi naona hakuna kulemba sana hasa kwenye mambo ya mahusiano ukiona kishawaka angalia ustarabu mwingine usalama wenyewe wa mashaka kisa cha kung'ang'ania uje ulibebe liukimwi la buree.
 
Kama wewe unamuacha tu na kusepa zako kwenu, watakuwa wachawi hao.
 
incest....too common kwa binadamu ila inafunikwafunikwa.
 
Ndio maana hata Masiha atakaporudi kuchukua walio wake hataikanyaga dunia hii ila atawanyakua juu kwa juu nakuondoka nao,hii sehemu tunayoishi iitwayo dunia imeshajaa laana za kila aina..na huwa siku zote namsifu Mungu kwa uvumilivu alio nao kwa wanadamu...
 
Hilo nalo neno. . . . .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom