The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Tabia gani hiyo ya kuhonga honga mwanaume asifiwi kwa kuhonga anasifiwa kwa uwajibikaji katika family Asprin Njoo umfunde mwenzio sijamtia machoni toka Idd
Tabia gani hiyo ya kuhonga honga mwanaume asifiwi kwa kuhonga anasifiwa kwa uwajibikaji katika family Asprin Njoo umfunde mwenzio sijamtia machoni toka Idd
Ngoja nikwambie ukweli mke wangu Erickb52 ana katabia ka kufanya uchonganishi kwa ku create post fake akitumia ID ya mlengwa.Unakumbuka alivyo foji ile post kule darling? Hivi mi kweli mpenzi wangu naweza kukufanyia hivi? mimi? kweli? hivi unavyoniona ndo niko central namfungulia arabi.
kumbe jogoo wa bishanga hapandi friji la kienyeji???
Mihela ya bure ya hovyooo,
sasa konnie unataka nikuchonganishe na TS kwa kutoa siri ya holidei ileeeee tulienda Tenerife?kumbe jogoo wa bishanga hapandi friji la kienyeji???
Mihela ya bure ya hovyooo,
umesahau darling?Mbona Erickb52 wa watu wamsingizia hivyo?