mzee kachanganywa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mzee kachanganywa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mtamanyali, Sep 15, 2012.

 1. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  [h=6]Mzee mmoja alikwenda mjini kumtembelea mtoto wake, baada ya kufika jioni kikaandaliwa chakula mzee alikula sana ghafla akasikia mama anamwambia Juma"hebu mletee babu yako tishu"mzee kusikia hivyo akasema "aaa jamani nimeshiba mniwekee nitanywea chai kesho asubuhi"[/h]
   
Loading...