Wadau iyokoeni hii couple ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau iyokoeni hii couple !

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Sep 13, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Bwana Karabi alifunga ndoa na Bi. Kezia , hivi majuzi .
  Katika hali isiyo ya kawaida wanandoa hao jana wameamua kuachana.
  Pakalazimika kuitishwa kikao miongoni mwa wanafamilia toka pande zao mbili including wazee maarufu wa jirani.
  Kikao kikawa hivi :-
  > Kwa pamoja Jopo likaanza kwa kuwataka Bibi na Bwana , kila mmoja aanze kwa kutaja sababu kuu ya kufikia maamuzi yale !

  > Bi Kezia :-
  " Mimi nilifikiri ningekuta kitu kama hiki -
  =============>
  Matokeo yake nikakuta hivi -
  ===>"

  > "Bw. Karabi :-
  "Wazee wangu na mie nilitegemea nikute hivi -
  (-----)
  Badala yake nikakuta hivi -
  (-----------------)

  Magreti sinka kesi hii tuiamuaje?
   
 2. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Mh wote hawajatulia haiwezekani mpaka size ujue
   
 3. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lol duniani kuna mambo
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Tena sio madogo!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  wao waachane tu bana.....a a....
   
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Eti eeh ?
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Hapo ndio napokupendeaga Preta hurembi,na mimi siku zote nawaambiaga humu ni vyema kutesti ujue kabisa ngoma unayoenda kuicheza,kuna mmoja aliwahi kujitangaza humu kuwa yeye ana nchi 18 sasa sijui wa hivyo ukikutana naye utavunja ndoa siku ya pili au.... Kwa ushauri wangu hao wanandoa waachane tu na wakilazimisha kuendelea katika ndoa hiyo wajue kabisa kina Paka Mweusi tupo na hatutokuwa nyuma katika kuwasaidia...
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,717
  Likes Received: 12,772
  Trophy Points: 280
  Hapo ni kujaribu kuwa shauri kuwa hata wakiacha ni vigumu kupata mtu aliye kamilika ni vyema kila mtu akakubali mapungufu ya mwezie!
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ndiyo kusema mtakatifu unajiamini unamiliki "kitu ya adabu"
  kwa maneno mengine "umejaaliwa" kitu kipo!
  Au ?
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Mkuu sijasema hivyo na sitowezasema hivyo,kwani ni nani asiyeogopa kukikmbiwa na warembo.....hahahahahah
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ingekua waungwana wanakimbiwa! Mbona chines kila uchao mauzo yanaongezeka?
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Hahahahhahaha,haya bana mwenzio niko kwenye mkesha hapa leo....
   
 13. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  zipo dawa za mchina kwenye famasi yangu, kupunguza size ya kike na kurefusha na kuongeza ukubwa wa ya kiume, wani pm
   
 14. s

  sikati tamaa Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ...cwanasemaga tingisha chupa ya dawa kabla hujainywa..
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Inakuwaje unakata tamaa? Kama hukutikisa kabla ya kunywa si unarukaruka tu inajitikisikia tumboni?
   
 16. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Upo? Jana nlikua arusha nikapita mitaa yote nakufind but where. . .(nikakutafuta lakini wapi).
   
 17. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahaha si bora huyo alikuta ndogo lakini inasimama ku mwenzake alikuta kubwaa akaanza kushangilia mumewe akamwambia kubwa lakini halisimami...
   
Loading...