JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Haya jamani mjionee mambo!! MTU mmoja alifariki na kwenda jehanamu. Kufika huko akakuta kuna jehanamu tofauti tofauti kwa kila nchi. Akaamua kuzunguka zunguka ili aweze kuipata jehanamu yenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mmh, babu na mjukuu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni msanii gani au mtu maarufu gani unampenda na kumchukia na kama unampenda elezea kwann na kama unamchukia pia toa sababu za wew kumchukia Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani naombeni mnikaribishe ila siyo kwa VIJEMBE na MIPASHO.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamiiforum nipokeeni mwenzenu toka cngida...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
"THIS IS VERY INTERESTING STORY OF MY LIFE" ......baada ya kulog in facebook inbox yangu ilikua inaonyesha kwamba una msg 2 moja ilikua inatoka kwa mdogo wangu akiwa ananijulia hali, msg ya pili...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Huwa nayapenda sana majibu ya wana-jf, asa leo nataka kujifunza kutongoza mschana, hebu niambieni nikasemeji nikishakutana nae??
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna bwana mmoja alikuwa kalala na mkewe mara mke akawa anaota kwa sauti jifeche jifiche mumewangu anakuja. mumeakakurupuka na kuruka akatokea dilishani akiwa na nguo ya ndani (ch#p) akiwa nje...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Night shift... just waiting for something to happen but nothing does... usingizi unaninyemelea, nimeamua kuingia JF mara moja nichemshe Bongo Leo nimefikiria sana. it doesnt happen often, so read...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Leo nilikuwa na wakati mgumu kujiokoa na moshi wa kutoa machozi pale central kama zali now niko powa. Aisee kumbe inawasha vile ilibidi ninunue maji
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi nikienda nyumbani Morogoro napanda ABOOD BUS, nikienda ukweni Arusha napanda GORIKA BUS....Endeleza na wewe mkuu....
0 Reactions
78 Replies
11K Views
Mwanzoni mwa miaka ya1980 timu ya Nchini Kenya ilikuwa na Mchezaji wa Taifa anaeitwa OTIENO MBO*, Siku moja akawa Majeruhi, Kesho yake Magazeti yote KENYA yakaandika "WAKENYA KUCHEZA BILA...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
This is how the human brain often works when our status changes. Very few remember what life was like before, and who was always by their side in the most painful situations. * Life Is a Gift...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
6/2(2+1)=?
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Jamany Sio Siri.....Mwenzenu Nina Hamu.... Hamu yangu haina kipimo........natamani weekend ifike haraka nikatimize hamu yangu..... Najua hata ww una hamu ya kitu fulani...ila yako haizidi...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanandoa waliodumu zaidi ya miaka 20 wamebainika kuwa na ugonjwa wa Kisukari, utafiti unaonesha waliugua kwasababu ya majina wanayojiita kama; my Honey, my Sweet, my Hot Chocolate nk. Plz mkinge...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mke wa mtu akisoma sms kutoka kwa mpenzi wake alijikuta akitkwa na machozi baada ya mpenzi wake kumwambia mapenzi yao yamefika kikomo, Mumewe akamuuliza nani alie kutumia sms? Mke: Dada. Mume...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hahahahaha is it jealousy or Clever from husband? Husband: Why did U give so much money to the beggar who was pretending to be blind? Wife: Didn't you hear his good words to me? Husband: No...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna bwana mmoja alimuaga mkewe kuwa anasafiri kikazi atakua huko kwa siku 3. Wakati anatoka mkewe akamfuata na kumpatia salama cond... mume alipouliza kwanini amempa salama mke akajibu kuwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Baba:Niletee soda Mtoto:Coke au Sprite? Baba:Coke Mtoto:Kubwa au ndogo? Baba:Kubwa Mtoto:Baridi au warm? Baba:Baridi Mtoto:Nikuleteeglass au utatumia straw? Baba:Leta glass Mtoto:Glass...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom