Angekua mwanao ungefanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angekua mwanao ungefanyaje?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bavaria, Oct 16, 2012.

 1. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,100
  Likes Received: 11,250
  Trophy Points: 280
  Baba:Niletee soda
  Mtoto:Coke au Sprite?
  Baba:Coke
  Mtoto:Kubwa au ndogo?
  Baba:Kubwa
  Mtoto:Baridi au warm? Baba:Baridi
  Mtoto:Nikuleteeglass au utatumia
  straw?
  Baba:Leta glass
  Mtoto:Glass kubwa au ndogo?
  Baba:Aaaaarrrrggghhh! Acha hiyo
  soda
  ikae! Niletee maji! Mtoto:Baridi au
  warm?
  Baba:Baridi
  Mtoto:Iliyo chemshwa au la?
  Baba:Nitakuchapa wewe!
  Mtoto:Kwa slippers au kiboko?
  Baba:Walai nitakuuwa leo! Mtoto:Kwa
  bunduki au kisu?
  Baba:Toka hapa!
  Mtoto:Sahizi au baadaye?
  Baba:Nkt!we ulitoka wapi! Ni heri
  tungekuzaa yorghut tukunywe
  . Mtoto:Yogho yogho au daima? Huyu
  mtoto angekua wako ungemfanya
  nini?
   
 2. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,366
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Utakuwa unamuongelea MADENGE wa gazeti la SANI tu hapa.
   
 3. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ningemfanyia maombi...
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  si unampa kisago heavy tu!
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,558
  Trophy Points: 280
  Nisingeshangaa kwani ndo malezi nilompa.
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
   
 7. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  MENTION =/4837471 Mamndeny MENTION umeamkaje shem
   
 8. T

  Tinito Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  umempa jibu zuri lililoshiba.
   
 9. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ningemuangalia tu mana anavyoonekana kama hayuko tayari kutumwa
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,558
  Trophy Points: 280
  Mimi mother wako,
  shem wako kwa nani na mimi baba zako
  wote walishanipaga talaka.

  but asante kwa salamu,
  namshukuru Mungu sijambo kabisa.
   
 11. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kitu cha kofi la maana
   
Loading...