Salama imeleta uhasama kwenye ndoa.

Mkubwa Jalala

Senior Member
Mar 21, 2012
112
23
Kuna bwana mmoja alimuaga mkewe kuwa anasafiri kikazi
atakua huko kwa siku 3. Wakati anatoka mkewe akamfuata
na kumpatia salama cond... mume alipouliza kwanini amempa
salama mke akajibu kuwa ziweke tu huwenda shetani atakupitia
zita kusaidia. Mume akafurahi kimoyomoyo, akiwa anaingia
kwenye gari lake mke akaja tena, samahani mume wangu na mimi
naomba uniachie moja. MUME AKAMPIGA KOFI NA KUMWAMBIA
MALAYA MKUBWA.
 
hahahaha.....sasa kwani yeye mume alijua shetani anawapitia wanaume tuu...ata wanawake penda utamuuuuuu!!!!
 
Ha ha ha duh, ila wanaume wngi tko hvyo, 2kfanya makosa linasamehka but upnde wa pili, mh balaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom