Kifo cha nyani miti yoooooote huteleza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifo cha nyani miti yoooooote huteleza.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkubwa Jalala, Oct 16, 2012.

 1. Mkubwa Jalala

  Mkubwa Jalala Senior Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mke wa mtu akisoma sms kutoka kwa mpenzi wake
  alijikuta akitkwa na machozi baada ya mpenzi wake
  kumwambia mapenzi yao yamefika kikomo, Mumewe
  akamuuliza nani alie kutumia sms?
  Mke: Dada.
  Mume: Inasemaje?
  Mke: Ananielekeza jinsi ya kupka pilau.
  Mume: Sasa mbona unalia?
  Mke: Si nimefika sehemu ya kukata vitunguu.
   
 2. EXTERMINATOR

  EXTERMINATOR JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba niisome
   
 3. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  umetisha mkuu.
   
Loading...