Jifiche jifiche mume wangu ameluja!!!.

Mkubwa Jalala

Senior Member
Mar 21, 2012
112
23
Kuna bwana mmoja alikuwa kalala na mkewe mara mke akawa
anaota kwa sauti jifeche jifiche mumewangu anakuja. mumeakakurupuka
na kuruka akatokea dilishani akiwa na nguo ya ndani (ch#p) akiwa nje
ndio anakumbuka loo kumbe alikuwa kalala na mkewe.
 
kiongozi hapo maana yake ni kwamba hiyo ndoa imetamalaki kwa mpango wa kando
 
Alipitiat dirishani.yani dirisha halkuwa na wavu wala nondo,kwel hyo zaidi ya uswaz
 
Kwani wewe sio gret thinker? Umeshindwa kujua kuwa mleta mada ametumia simu ? Katika simu J,K na L zipo katika kitufe cha namba tano kwa hiyo unaweza kujua nini alikusudia hapo.
kuluja ndio kufanya nini??
 
Kwani wewe sio gret thinker? Umeshindwa kujua kuwa mleta mada ametumia simu ? Katika simu J,K na L zipo katika kitufe cha namba tano kwa hiyo unaweza kujua nini alikusudia hapo.[/QUOTE

You are more than great thinker. Sikutegemea kama kuna mtu atakae gundua hilo.
 
Back
Top Bottom