Tuzungumze kwa kilichopo ndani ya moyo wako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuzungumze kwa kilichopo ndani ya moyo wako

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Hashpower7113, Oct 16, 2012.

 1. Hashpower7113

  Hashpower7113 JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 452
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 80
  Ni msanii gani au mtu maarufu gani unampenda na kumchukia na kama unampenda elezea kwann na kama unamchukia pia toa sababu za wew kumchukia

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,116
  Likes Received: 12,825
  Trophy Points: 280
  nampenda fid q,joh,lord,mpoto kwa sababu wanajitahidi kuelimisha jamii kupitia nyimbo zao.
  Diamond nilimpenda ila kanitoka baada ya kuvua nguo fiesta

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 3. nameless girl

  nameless girl JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 3,905
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  nampenda sana jide, ni mwanamke jembe anayejiheshimu, sipendi tabia za Wema Sepetu hajielewi hata kidogo
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,148
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Mh! Kweli hili jukwaa la udaku
   
 5. N

  NG'ONG'ONHWI Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  aaah me nawapenda wasanii wote wanaojtambua na kujheshmu then nawachukia wote wanaojvuna kwa misifa ya kijingaaa. Am done.
   
Loading...