JK na Urais

Mwali

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
7,014
5,608
Night shift... just waiting for something to happen but nothing does...
usingizi unaninyemelea, nimeamua kuingia JF mara moja nichemshe Bongo
Leo nimefikiria sana. it doesnt happen often, so read me carefully...
Hivi, initials za JK zina nini? Mbona ni initial ya rais kadhaa Africa?

Nimehesabu haraka, hawa hapa wana initial za JK (na ndio wote ninao wajua)
Wengine mashujaa, wengine dhaifu, wengine in between, but wote JK:
Julius Kambarage Nyerere (TZ), Jomo Kenyata (Kenya), Joseph Kabika (DRC),
Jakaya Kikwete (TZ), Joseph Kasavubu (DRC), nimejaribu kuandalia marekani
nikapata mmoja: John Kennedy (US). Ndio limited knowledge yangu ya viongozi,
kama unajua wengine ongeza tu.

Of course it could just be a coincidence, ila at this moment, katikati ya usiku
nimeona kama ni a very fascinating topic, worth sharing and investigating...
Haya, ngoja nikacheki kama anything requiring my attention has happened.
 
Uko lindo? John Agyekum Kufuor – Ghana (2001-2009)
Hehehehe EMT bora Mwali kuliko wewe...yeye kapost saa nane na nusu wewe saa tisa na nusu tena ikawa edited saa kumi na dk 22 (4.22am) lol milikuwa pamoja mkakula raha au?
 
Last edited by a moderator:
.. Of course it could just be a coincidence, ila at this moment, katikati ya usiku nimeona kama ni a very fascinating topic, worth sharing and investigating...
Mwali, this is very interesting ... you wanna know why?
 
Last edited by a moderator:
Hapa mi hua pia nimeipigia hii letter K ! Mstari chini .
Initial K imetawala sana ktk majina ya viongozi.
Mathalan kwa sasa marais wengi wa kipande kikubwa Africa katika majina yao huwezi kosa initial K !
Mf.
KIKWETE
KIBAKI
KAGUTA
KAGAME
KEER
KABILA
Sijajua siri yake nini !
 
Na mie ni Joyce Kibanga, na ninagombea 2015 via Sau.

Za siku?

Hivi Kibanga alie mpiga mkoloni hawezi kua na first name kama Juma?
Maana na yule katika role models yumo!
Usiku mrefu, jana nilishinda nikilala (three off)
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom