JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mzuka wana jamvi ? Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina...
12 Reactions
86 Replies
812 Views
Hivi kuna madhara yoyote mwanamke akishika ujauzito na kuamua kumficha mwanaume bila kuwa na ugomvi au tatizo lolote kati yao, kwa lengo la kumlea mtoto peke yake? Pia, ikiwa mwanaume huyo...
12 Reactions
220 Replies
2K Views
Una mnato (Viscosity)...Yaani ni kupimwa kwa uzito au upinzani wa ugiligili dhidi ya kutiririka. Kwa mfano, asali ina mnato mkubwa kuliko maji.
10 Reactions
104 Replies
821 Views
Raha za pwani zinapokolea Hakuna dari na hawajafungulia mziki kumeza sauti..!
13 Reactions
37 Replies
381 Views
1. Pesa hutibu msongo wa mawazo 2. Pesa hutibu gonjwa la upweke 3. Pesa hutibu punyeto 4. Pesa hutibu vidonda vya tumbo KAMA MDAU UNAUMWA HAYA MAGONJWA TAFTA PESA UTAPONA
7 Reactions
17 Replies
126 Views
Nawaza kufungua biashara ya kuuza vifaa vya mazishi kama sanda, marashi, majeneza, gari za kubebea marehemu na n.k Kwenye hii biashara nataka iwe na mzunguko sana na mauzo mengi. Hapa nitakuwa...
4 Reactions
15 Replies
128 Views
Hakika slim girls wapo moyoni mwangu Kwanza tu unaweza kumbeba wakati wa tendo na kumkunja kisawa sawa maana body inaruhusu Lakini pia kwa sisi wwnye vibamia kadude hakadzuiwi na kuishia kwenye...
13 Reactions
45 Replies
648 Views
Nataka tuanzishe hadithi mana kuna watu wanafikishaga hadith nusu sasa nataka tufikishe mwisho Yani anaanza mwenzako kisha wewe unaendeleza pale alipoishia mwenzako MFANO: HADITHI...
0 Reactions
4 Replies
73 Views
Mimi min, baada ya miaka 500 kutokea ,leo atatokea mdada , kipanga mwenye haiba na DNA yangu, na humu JF itakua kubwa mno yeye ataimiliki kwenye enzi hizo😉 Nipo karibu sana na kufa...
19 Reactions
74 Replies
812 Views
Nawasalimu wakuu... Nafurahi sana kuiona Jf ikikua na members kuongozeka sana!! Nimetumia muda mrefu kidogo kusoma kinachoandikwa hapa jukwaani kwa sasa nikifananisha na tulikotoka... Naona sasa...
28 Reactions
1K Replies
66K Views
Kwenye maisha usijali ukikataliwa hata wasipokupenda we vimba na usijalishwe nao. Unaweza ukapenda ukatendwa jifunze kusahau na...
1 Reactions
6 Replies
64 Views
Huyu Bamedi leo kanikomesha aise. Nilikuwa kaunta napata Moja baridi Moja uvuguvugu, ghafla akatokea mwamba, yule mwamba kwa sauti ya majivuno na yamajigambo si akamwambia yule Bamedi: We...
0 Reactions
5 Replies
127 Views
Umepewa nafasi ya kuomba msamaha kwa kiungo chako kimoja cha mwili wako kwa matumizi mabaya, ungechagua kuomba msamaha kiungo gani?
4 Reactions
14 Replies
189 Views
Assalaam Kheri ya siku ya kuzaliwa kwako kipenzi😍, Allah akujaalie kheri,uzima afya njema,uishi sana uone Hadi vitukuu🥰 Happybirthdaymywizzzz🥰
19 Reactions
131 Replies
1K Views
Kisheria anatakiwa alipe bill na ya yule amekimbia au yake tu? Mwanzo kunakuwa na makubaliano ambayo mhudumu anahusika kuhusu mlipa bill?
6 Reactions
31 Replies
344 Views
1 Leo nimeota nimeenda kwenye shughuli kwenye kuandaa sasa nikaamshwa da nimekasilika sana 2 leo nimepanda baskel inayoachia mara paap ikaachia nikiwa mlimani mnajua kilichonikuta 3kijana...
1 Reactions
15 Replies
127 Views
Happy birthday to me Uzee una kuja kwa kasi
17 Reactions
95 Replies
701 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…