JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nilipanda hiace tokea dumila kwenda moro.Mara njiani tukampakia mama wa kimasai akiwa na mwanawe kichanga,alikosa seat hivyo alisimama.Ile hiace ikaendelea kuokota abiria njiani.Yule mama wa...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, Ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na...
4 Reactions
13 Replies
4K Views
Ni kawaida sana kuona wachezaji wanapomaliza kucheza mpira wanabadilishana jezi, ingekuwaje kama watu wangekuwa wanabadilishana chupi baada ya kusex, je wewe ungekuwa na chupi ngapi za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanafunzi alimuuliza mwl; Hivi ukichanganya Omo na Foma zitatoa povu? Mwl akajibu kwa hasira 'swali gani la kipuuzi hilo, zitatoa kwasababu zote ni sabuni. Mwanafunzi akasema: Wewe ndiyo una...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Fundi selemala alipewa oda ya kuchonga jeneza kwenye msiba ambao ulikuwa niwakusafirisha kwenda kuzika mkoani. Alijitahidi kuchonga jeneza faster lakini ikashindikana akakamilisha kazi usiku...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
mpiga chabo mmoja aliwachungulia wapenzi fulani wakiwa chumbani, akashuhudia mwanamme akimnyoa mwanamke nywele za chini ya kitovu karibu na kei, jamaa alipomaliza kumnyoa akapiga bonge la kiss...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamaa mgeni kabisa kaajiriwa kwenye kampuni; SUPAVAIZA: Mheshimiwa unaitwa nani? JAMAA: Naitwa John. SUPAVAIZA: John nani? Unajua jambo ambalo nimeligundua ni kuwa watu mkianza kuitana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni kweli kabisa wengi wetu tunakesha club kisha asubuhi tunaenda kuuza sura kanisani. Ufunuo 3:15-16 unasema 15 Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Morning my people, wish everyone a marvelous Sunday, ngoja nakimbilia kanisani kupata upako. Cherio!. . .
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama ni kuku kwa sababu wao ni chapchap utazuga kama hujawaona na utachomekea stori. Umekaa unazungumza na mkwe wako wa jinsia tofauti, ghafla wanatokea wanyama kama mbwa au bata wana du tartiiib...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Jamani am new here sijui hata how this thing is working cansomeone help1
1 Reactions
38 Replies
2K Views
platozoom akiwa katika pozi Sublakheri wapenzi wasomaji wa JF, kwa wale ndugu zangu wakristo nasema Bwana Yesu asifiwe sana. Haya tena leo mjengoni nipo na ndugu yetu, jamaa yetu na rafiki yetu...
3 Reactions
56 Replies
4K Views
hawa ni watu wawili tofauti au wanafanana????? Na kama hawafanani naomba mwongozooo!!!!!! Nawasilisha.
1 Reactions
110 Replies
5K Views
Dah!huyu jamaa noma yaani nimetia timu maeneo nakuta wadau wanaangalia filamu aliyotafsiri!!ni zaidi ya vichekesho...
0 Reactions
29 Replies
19K Views
Kwa mimi wa Mitaa ya "Kwa Mfuga Mbwa" nawakumbuka watu kama "George best" "Santana" "Mwamba zege Bolingo" "kejeli" "Juma Nyeto" "Juma Mgogo" "Seikh Kione" "Sheikh Pazi" "Ally Bugo" na mitaa kama...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Nakumbuka maisha ya zamani, sasa Nimeanza kupita mjini kuulizia bei ya koroboi na mafuta ya taa kwani umeme huu haueleweki kabisa. Sijaona koroboi mjini Dar, labda nitoe nitengeneze mwenyewe na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau,nilianzisha jana mada humu entitled:Utoto Umezidi humu. Nimepitia comments,na wengi kweli wamenitukana wakihisi kuwa nilianzisha thread ile kuwatukana. Kwa kweli,NINAOMBA RADHI,kwani...
2 Reactions
66 Replies
4K Views
Kila unachotaka we google tu,nami si nika google "demu" wacha nisubiri nikitegemea katatokea kademu kazuuri ili kawe ka shemeji yenu,nikawa nachungulia C.P.U pengine kana jipamba afu ndo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
IN BOX SMS ZA MSICHANA Frank: I love u gal. Mpesa: You have received 15,000 kutoka kwa John Tesha. Bodaboda: Unajua nahisi km nataka nikutoe diner leo. 100: Umepokea muda wa maongezi wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mods futeni hii thread nimejitahidi ku upload picha imekataa
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Back
Top Bottom