Unaikumbuka mitaa na watu mashuhuri wa kwenu?

Unaikumbuka mitaa na watu mashuhuri wa kwenu?

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,243
Kwa mimi wa Mitaa ya "Kwa Mfuga Mbwa" nawakumbuka watu kama "George best" "Santana" "Mwamba zege Bolingo" "kejeli" "Juma Nyeto" "Juma Mgogo" "Seikh Kione" "Sheikh Pazi" "Ally Bugo" na mitaa kama "Beston" "Manzese Msufini" na maeneo mengine kibao.


wewe unawakumbuka kina nani na walikuwa watu wa wapi sehemu gani ya nchi? Mitaa gani mpaka leo imebaki kwenye kumbukumbu za akili zako?
 
Back
Top Bottom