Mgeni

Mgeni

Kwako giannasika,
Dhumuni la bandiko hili ni kukukaribisha katika jumba la CC.
Siku za karibuni katika jumba letu,tumekua tukipokea baadhi ya wageni ambao tunahisi uelewa wao wa maana nzima ya Chit chat ni mdogo. Hivyo basi kwa kuwa wewe mgeni wetu umekuja kwa taratibu nzuri, basi hatuna budi kukukaribisha kwa mikono yote miwili. Taratibu za ukaguzi, uandikishwaji na upewaji adi zitafuta kwa mujibu wa sheria ndogo Na. 174b, kifungu kidogo cha 3, ukurasa wa mwisho wa katiba yetu.

Wako katika ujenzi wa CC,
watu8
 
Shem,
Nyie ndo wale dizaini ya kumvua nguo mwanamke kupitia taswira ya Ubongo.
Duuh...

mara nyingi kwenye chatting, wanawake yena walio na umri wa kati na caring huanza maongezi na neno "jamani".
yaan mbona hata wewe nishakuvua na kukuchorea picha kibao ubongoni...
 
mara nyingi kwenye chatting, wanawake yena walio na umri wa kati na caring huanza maongezi na neno "jamani".
yaan mbona hata wewe nishakuvua na kukuchorea picha kibao ubongoni...

Shem nakushtaki umenibaka kitaswira.
Na wale Mababa wa kileo huanzaje?
"Yoyooo" au "Hey...whatsup"
 
Shem nakushtaki umenibaka kitaswira.
Na wale Mababa wa kileo huanzaje?
"Yoyooo" au "Hey...whatsup"

we unadhani kuna mtu atakusikiza, atajua michezo ya ki-SHEMEJI
heheh siye hutumia lugha ya command kidizaini
 
Karibu sana mgeni kama ni she halahala na waume zetu kama ni he basi taratibu na wake za watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom