mtafsiri wa filamu za kizungu kwa kiswahili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mtafsiri wa filamu za kizungu kwa kiswahili!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by myao wa tunduru, Apr 26, 2012.

 1. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Dah!huyu jamaa noma yaani nimetia timu maeneo nakuta wadau wanaangalia filamu aliyotafsiri!!ni zaidi ya vichekesho...
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wewe ndio unaona leo?mbona tangu mwanzoni mwa miaka ya 1990???au umekosa cha kuposti mkuu?
   
 3. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Sijawahi kutazama ingawa nilikuwa najua yupo!!!password ya facebook nimepoteza ikabidi nipost humu kwa wasomi kama wewe profesa
   
 4. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwani kila kinachopostiwa humu ni lazima kiwe cha new millenium.
  Plus, kama wewe na kundi kubwa la watu wameona since the 90's, haimaanishi kila mtu naye ni hivyo hivyo.

  On top of that, this is a chit chat.
  Think big mkuu.
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  hii ni chit chat,au ulitaka apost mgongoni mwako?
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  roho ya bpibpi yetu imezzimika, lete maji tuimwagie, akiamka atatueleza je kimetulia nini?

  (bibi akamwagiwa maji akazinguka)

  bibi anasema: Mwizi Masanja amekula akala nyama yote, hata akataka nimchinjie njiwa wa mabarua.

  Hii ni sehemu ya movie ilotafsiriwa nilowahi ona.
   
 7. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,202
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Tatizo wa2 hawaelewi jnc ya kutafsir. Unapofasir ki2 inabd ufasiri kulingana na tamadun na destur znazofungamana na lugha hucka. Ukitafsir km ilivyo hamna atakaekuelewa. May b yupo sahih lkn kwa kua mnataka tafsir ya neno kwa neno ndo mana mnamuona jamaa muongo. Ndo mana wanasema mfasiri cku zote ni msaliti wa matin anayoifasili.
   
 8. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  msomi spika alinipa makavu mpaka nikajiuliza nimekosea jukwaa nini!kumbe nilikuwa katika jukwaa sahihi!asante mwanasheria wangu kwa kunitetea
   
 9. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Kongosho....leo tukimkamata Rambo atatulezea kilichomtoa kanga manyoya!!!kipande katika movie niliyoiona jana hiyo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha, yaani hizi movie mie huniacha hoi.

  Kama hii ya Mwizi masanja ukiiona lazima ucheke sana.

  Eti barua imewekwa ndani ya chupa halafu mzungu anasema.

  Chupa ndani ya barua, afu kiswahili cha kisukuma hadi basi.

   
 11. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  hakuna kama Lufufu katika mpango mzima wa kutafsiri!
   
 12. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  umewahi kuinoa katuni ya Kirikou swahili version?tafuta ufurahi na watoto wako
   
 13. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  Anita,nimegundua una upeo mpana sana kuhusiana na mambo ya lugha!
   
 14. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Kirikou 1 ametafsiri vizuri sasa ile ya pili yule jamaa wa mtongani ameboronga mpaka mtoto wangu imemchefua haiangalii kabisa. Ila yule Rufufu ni noma ametengeneza hela sana.
   
 15. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Umenifungua macho mkuu!nilikuwa sijui kwanini watoto wanaipenda hiyo katuni ya kirkou...
   
 16. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Huyu mnyamwezi anazingua sana!pilau hatafsiri manake style zake yeye anaelezea tukio!dah...sipati picha ndo anaelezea mchezo mzima!hahahha..jamaa anachezea ki bean cha demu!hhhahahah!
   
 17. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kuna moja ya vandame yupo na demu wake... Halafu jamaa anatafsiri uongo eti demu anamuuliza vandame., mbona hujaogaa? Ujue unanuka kikwapa.. Vandame anajibu...yes yes.. Nikiwa cjaoga ndo nawauwa maadui vizuri!.
   
 18. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,497
  Likes Received: 5,977
  Trophy Points: 280
  kuna jamaa anaitwa juma khan wa mtongani yaani anatafsiri matukio badala ya maneno. unatakiwa utafsiri maneno ili usiwamalizie watu utamu halafu vizuri ukaacha watu wachanganue wenyewe matukio
   
 19. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #19
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Hahahahhahahhhaha!hiko kipande mtafsiri kamaliza yaani kapiga fiksi ya hatari dah!nikiwa sijaoga ndo nawaua maadui vizuri!hahhahhaha...
   
 20. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #20
  Nov 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu nawezaje kupata Kirikou 1? nimesimuliwa jana nimetamani kuiona sana.... Nipo nje ya Tz kuna uwezekano wowote wakuipata?
   
Loading...