Utajisikiaje na utazuga vipi?


W

Wajad

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Messages
1,327
Points
1,500
W

Wajad

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2012
1,327 1,500
Kama ni kuku kwa sababu wao ni chapchap utazuga kama hujawaona na utachomekea stori. Umekaa unazungumza na mkwe wako wa jinsia tofauti, ghafla wanatokea wanyama kama mbwa au bata wana du tartiiib mbele yenu, utajisikiaje na utazugaje?
 
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
8,182
Points
1,250
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
8,182 1,250
Nawafukuza au nawatisha kwa maana mbwa hawezi kuja sebuleni tulipokaa ndiyo wasex.
 
Arabela

Arabela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
3,124
Points
1,225
Arabela

Arabela

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
3,124 1,225
Mh me nitakazanisha mazungumzo tu
 
Heart

Heart

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
2,662
Points
2,000
Heart

Heart

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
2,662 2,000
Kwa kweli ni kuwafukuza kisha kuendelea na mazungumzo kama kawaida...kujifanya unaondoka itakuwa kama una nidhamu ya uoga hivi.
 
Z

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Messages
9,381
Points
0
Z

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2007
9,381 0
Mie, nitajidai sijaona..... hata ukiwafukuza aisaidii maana wale ni wanyama hawajitambui
 
W

Wajad

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Messages
1,327
Points
1,500
W

Wajad

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2012
1,327 1,500
Kwa kweli ni kuwafukuza kisha kuendelea na mazungumzo kama kawaida...kujifanya unaondoka itakuwa kama una nidhamu ya uoga hivi.
Ujasiri mzuri
 
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
7,892
Points
2,000
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
7,892 2,000
mie ndio kwanza nabaidilisha topic tuanze kuzungumzia utamu...eti bby hii style na sie tunaweza ijaribu huku napitisha mkono kupapasa wowowo
 
W

Wajad

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Messages
1,327
Points
1,500
W

Wajad

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2012
1,327 1,500
Mie, nitajidai sijaona..... hata ukiwafukuza aisaidii maana wale ni wanyama hawajitambui
Utampa wakati mgumu mkwe. Mara ataangalia chini, mara kushoto mara kulia na mtiririko wa maneno utatatizika
 
W

Wajad

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Messages
1,327
Points
1,500
W

Wajad

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2012
1,327 1,500
mie ndio kwanza nabaidilisha topic tuanze kuzungumzia utamu...eti bby hii style na sie tunaweza ijaribu huku napitisha mkono kupapasa wowowo
Sio mkeo, mkweo!
 
Z

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Messages
9,381
Points
0
Z

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2007
9,381 0
Utampa wakati mgumu mkwe. Mara ataangalia chini, mara kushoto mara kulia na mtiririko wa maneno utatatizika
Sina imani na wakwe wa Siku izi! Mkwe mwenyewe utakuta kavaa skin jeans au kimini, kwanini niwanyime wanyama haki Yao ya msingi?
 
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
8,182
Points
1,250
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
8,182 1,250
Kukaa na kuzungumza sio lazima sebuleni tu, hata nje inawezekana mkuu.
Nawapiga hata kwa chupa ya bia au soda najua watatii tu kamanda. Kuwaacha waendelee kufaidiana mbele ya macho yangu itakuwa aibu kubwa kuliko kuwafukuza kwa njia yoyote ile.
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
Wafunike shuka! Kama vipi kula wa mbuzi tu uchune uso!
Kwani kati yenu kuna aliyewaita waje kukulana hapo?
Aibu za kinafiki tupa kulee!
Huyo mkweo alimzaa vipi huyo uliemuoa/aliekuoa kabla hajazungusha miuno ?
Kula kabnyau tu! Kwa macho makavu.
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,492
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,492 1,250
Wasiwasi wako ni nini? Unawafukuza mnaendelea na stori,kwani yeye mkwe hajui kuwa wale ni wanyama,hajui kuwa kutiana kupo? Tuache uoga wa kinafki ilhali ukweli uko wazi, je akija akakuta binti yake ana mimba si atajua kuwa ulivua nguo ukamchomekea dushelele yako mimba ikatokea,call a spade by its name bana!
 

Forum statistics

Threads 1,295,998
Members 498,495
Posts 31,230,267
Top