KUNRADHI:Utoto Umezidi humu.

KUNRADHI:Utoto Umezidi humu.

Woga tupa kulee

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
1,749
Reaction score
1,312
Wadau,nilianzisha jana mada humu entitled:Utoto Umezidi humu.
Nimepitia comments,na wengi kweli wamenitukana wakihisi kuwa nilianzisha thread ile kuwatukana.
Kwa kweli,NINAOMBA RADHI,kwani halikuwa lengo langu kumtusi wala kumdhalilisha yeyote,isipo kuwa nadhani ni ugeni humu Chit-Chat ulio pelekea mimi kupost hilo.
NAOMBENI RADHI SANA,na with time nitalielewa vyema jukwaa na kuwa member mzuri humu.
Wasalaam.
 
Attention seeker. Utoto ndo unakusumbua. Ukikua utaacha. Boya wewe
 
Hii njia lazima ushikwe mkono..ukiingia kwa pupa lazima ukimbie..haya nenda kwanza kwenye jukwaa la utambulisho..utamkuta Chitchat secretary a.k.a kungwi Zinduna akupe maelezo.
 
Last edited by a moderator:
Poa,kwa sababu umeamua kunitusi nashukuru.
Lakini lengo langu ni kuwaomba radhi,wewe ukiwa inclusive.
Uwe na siku njema.

Huna lolote. Unataka umaarufu kwa kuwakera wengne halafu unakuja humu kutaka radh? Kwa nini hujafuta hyo post inayosababisha uombe radhi? Acha uboya
 
nakusemea haya,
sema asante bi mkubwa.
image.axd
 
Huna lolote. Unataka umaarufu kwa kuwakera wengne halafu unakuja humu kutaka radh? Kwa nini hujafuta hyo post inayosababisha uombe radhi? Acha uboya

Mkuu,ningeifuta hiyo thread,ila sijaona option ya ku delete thread zaidi ya ku delete post.
Kama unajua nielekeze.
Matusi si uungwana.
 
Poa,kwa sababu umeamua kunitusi nashukuru.
Lakini lengo langu ni kuwaomba radhi,wewe ukiwa inclusive.
Uwe na siku njema.

Siku nyingine usirudie. Kuniita mimi babu mzima mtoto ni dhambi kubwa sana.

Nimekusamehe ila nakufuatilia kwa makini ukinitusi tena nakubadilisha jinsia afu kikojoleo nakiweka usoni.

Mi nakasirikaga sana.
 
Bora umejirudi!!!! Usirudie tena!!
nicas please msamehe,akithubutu kurudia tena,hatua za ziada zitachukuliwa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,ningeifuta hiyo thread,ila sijaona option ya ku delete thread zaidi ya ku delete post.
Kama unajua nielekeze.
Matusi si uungwana.

sijakutukana. Nimekwambia ukweli. Kumbe hata JF kwenyewe hupajui vizuri halafu unatukana waliokutangulia.. Umetuita watoto halafu bado unataka tukufundishe jinsi ya kufuta post? We na uzee wako ulikuwa wapi siku zote usijiunge JF? Umenikera sana ila yamekwisha. All is well
 
Siku nyingine usirudie. Kuniita mimi babu mzima mtoto ni dhambi kubwa sana.

Nimekusamehe ila nakufuatilia kwa makini ukinitusi tena nakubadilisha jinsia afu kikojoleo nakiweka usoni.

Mi nakasirikaga sana.

Haya babu,nashukuru.
 
sijakutukana. Nimekwambia ukweli. Kumbe hata JF kwenyewe hupajui vizuri halafu unatukana waliokutangulia.. Umetuita watoto halafu bado unataka tukufundishe jinsi ya kufuta post? We na uzee wako ulikuwa wapi siku zote usijiunge JF? Umenikera sana ila yamekwisha. All is well

Pamoja sana mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom