Koroboi

Koroboi

Tanzania Mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
252
Reaction score
145
Nakumbuka maisha ya zamani, sasa Nimeanza kupita mjini kuulizia bei ya koroboi na mafuta ya taa kwani umeme huu haueleweki kabisa. Sijaona koroboi mjini Dar, labda nitoe nitengeneze mwenyewe na kusokota utambi wa kanga na kuweka mafuta ya taa. Sina shida na umeme tena.
 
koroboi + karabai + kibatari + mdudu + chemli + fanusi .....ipi hasa unamaanisha......?
 
koroboi + karabai + kibatari + mdudu + chemli + fanusi .....ipi hasa unamaanisha......?

Naona wewe ni mtaalamu kweli. Kwa watanzania wengi walio vijijini wanatumia kibatari au koroboi. Twaweza kurudi huko km mambo ya umeme yataendelea namna hii.
 
koroboi huo moshi wake balaa, kila siku mafua.
 
koroboi huo moshi wake balaa, kila siku mafua.

Yaoneka mh hujaishi maisha haya. Tulitumia kila siku na hatukupata mafua. Mpaka leo hii wanaoishi miaka mingi ni walio vijijini, na ndio wanaotumia koroboi.
 
Back
Top Bottom