Daaaah yaani mpaka kuamka naona shida kutokana na mambo ya masanga ya jana.
Ngoja niende kwa mangi hapo nikapate kasupu na mtori ili mambo yawe sawia bin sawia.
Erickb52 jana ulipona kweli na zile ndofyu zako ulizokuwa unazikataa kumbe unazipenda.
Utakuwa ulinifananisha aisee Mzee wa RulaDaaaah yaani mpaka kuamka naona shida kutokana na mambo ya masanga ya jana.
Ngoja niende kwa mangi hapo nikapate kasupu na mtori ili mambo yawe sawia bin sawia.
Erickb52 jana ulipona kweli na zile ndofyu zako ulizokuwa unazikataa kumbe unazipenda.
Morning my people, wish everyone a marvelous Sunday, ngoja nakimbilia kanisani kupata upako.
Cherio!. . .
Sunday is ok,, nabembea na hangover zangu, hivi saivi natafuta direction ya kwa kina Madame B kwenye desbei, i mean besdei