JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Dah! Kweli Bujibuji kapamba moto! Threads hizo kama 9 alizozianzisha kwa leo tuu, ni mbali posts alizopost kwa leo! Naona hawa ndo wanaochangamsha JF
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Leo tutaleta lesson moja ambapo itasaidia kama chitchat kumjua mwandani wako ama rafiki na udhaifu wake ili mapenzi yenu ama urafiki udumu. Kuna aina nne za personality 1.sanguine ni watu...
0 Reactions
49 Replies
3K Views
Hakuna marafiki wa kweli kama makalio.Kwani makalio yanavaa chupi moja.makalio yanachapwa fimbo moja.Yanakalia kiti kimoja.Jee kuna marafiki wa kweli zaidi ya makalio?Jamba kidogo basi ili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
waungwana leo nimeingia kwenye daladala nikawa nimesimama mara akaingia mzee na mwanafunzi wasekondali kama watatu kutoka kituo kinachofuata. yule mzee akawauliza wale wanafunzi ilikuwa hivi :-...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
A Year 5 teacher was giving her Primary pupils a lesson in developing logical thinking. "This is the scene," said the teacher. "A man is standing up in a boat in the middle of a river, fishing...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
GEORGE: Mke wangu duniani kuna watu balaa kweli yaani kha!. LAURA: Kwanini mume wangu?. GEORGE: Huyu jirani yetu mlango wa pili. nani huyu wanamwita Massubo sijui. LAURA: Eee kafanyaje tena...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna jamaa alinunua kifaa cha kukamulia ng'ombe maziwa, Kufika nyumbani akasema ngoja nikitesti, Akakivaa kwenye UUME Akawasha kikawa kinamtekenya mpaka mchizi akamwaga, Sasa anaangalia...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
On a Trotro going, from Circle to Nungua, after my evening lectures the phone of a girl sitting close to me rang, she picks it and said: "Honey, I'm in a bus going to Koforidua for the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani wana chitchat,nimekutana na dada mmoja pale kwenye treni ya Mwakyembe,akanieleza anaitwa KOKUNYEGEZA Bishanga.Naomba kumuuliza ndugu Bishanga,kwamba huyu ni mwanae au ndio my waif wake.....!!!!
1 Reactions
45 Replies
3K Views
CHAT YA MWISHO YA SHARO MILONEA NA LINEX WAKIONGELEA MAMBO YA BARABARANI.... Huu ni ujumbe kutoka kwa marehemu baada ya ku chart na msanii wa Bongo Fleva hapa Tanzania aitwaye Linex Sunday.
0 Reactions
32 Replies
5K Views
A father put his three year old daughter to bed, told her a story listened to her prayer which she ended by saying: 'God bless Mommy, God bless Daddy, God bless Grandma, and good-bye Grandpa.'...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Juma alikuwa anajaribu kukwepa malipo baada ya kufanyiwa upasuaji wa macho kwa kusema bado haoni, Daktari akamnong'oneza nesi avue nguo zote mbele yake; JUMA: "Bado sioni" Nesi akaamua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Twenzetu corner bar sinza tukavute mizigo,achana na hii midabwada ya chitchat.
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Enzi zetu mwanafunzi wa sekondari lazima uwe na daftari lenye nyimbo za akina judy boucher, pamela nkuta, mc hammer, bob marley ivonne chaka chaka nk, na ukikaribia miezi ya mwisho kidato cha nne...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JAMAA kaingia bar kwa fujo...JAMAA:lete bia hapa na kila m2 humu ndani mpe bia yake maana napokunywa bia nataka kila mtu anywe bia. WATU:Ha ha ha ha!!.wakapewa bia JAMAA:Lete mchemsho hapa na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Omama,nakufa men,sijapenda men bado naipenda dunia men..izraeli usiniguse men unanichafua men... oma gad... Ndo maneno aliyetoa sharo kabla ya kukata roho yake.
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Hakuna marafiki wa kweli kama ******.Kwani ****** yanavaa chupi moja.****** yanachapwa fimbo moja.Yanakalia kiti kimoja.Jee kuna marafiki wa kweli zaidi ya ******?Jamba kidogo basi ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mwendawazimu mmoja mwanaume alikuwa akitembea barabarani na panga mkononi huku aliwa hana nguo na (yaani yuko uchi wa kuzaliwa) na kichwani hana nywele ni kipara.Lakini hajanyoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alipita pembeni ya ukuta wa jela ya machizi, ghafla akasikia wale machizi kwa ndani wakishangilia kwa kuhesabu '12....12....12....12'. Jamaa akatamani aone kinachoshangiliwa humo...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Mchungaj: Nasema pepo toka katika jina la Yesu! Pepo: sitoki!!! Mchungaji: shindwa pepo! Toka na mwache huyu mtumishi wa Mungu! Pepo: sitoki. Nimemwingia huyu mtu ili ashinde bahati nasibu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…