Sababu billioni moja zinazosababisha Chimbuvu & Madame B wadumu zaidi

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,401
2,324
Leo tutaleta lesson moja ambapo itasaidia kama chitchat kumjua mwandani wako ama rafiki na udhaifu wake ili mapenzi yenu ama urafiki udumu.
Kuna aina nne za personality
1.sanguine
ni watu wanaopenda kujionyesha ama kuonekana machoni pa watu
2.ni waongeaji sana
3.wana huruma
4.wana kumbukumbu nzuri
5.wachangamfu
6.wana mizaha
7.hutengeneza marafiki kwa urahisi
8.huwa na uwezo wa kushawishi watu
udhaifu wa sanguine
1.waongeaji kupita kiasi
2.wasumbufu
3.huwa hawakumbuki majina ya watu
4.wanaongea kwa sauti kubwa na hucheka kwa nguvu
5.hukasirika kwa urahisi
6.huwa hawasikilizi maelezo mpaka mwisho/anarukia
7,undiscipline
8.hawapendelei kuwa wenyewe
9.husahau wajibu wao
10.hutawala maongezi
11.hurudiarudia stori zao

2.melancholich
strengths
1.huwa wanafikiri kwa undani hasa
2.huwa wana akili sana
3.huwa wana vipawa na wabunifu
4.artist n musicians
5.hupendelea filosofia
6.wanataka kila kitu kifanyike kwa mpangilio unaotakiwa/perfect,mnaweza kugombana nae kama akikupa daftari lake upige mstari halafu uupindishe mstari moto utawaka
7.huwa wana mipangilio
8.wabahili
9.huona tatizo na kulitafutia ufumbuzi

udhaifu wao
1.huwa wankumbuka mabaya waliyotendewa
2.wanafurahia kuumizwa
3.hutumia muda mwingi kupangilia mambo kuliko kufanya kazi
4.huchagua kazi zilizo ngumu
5.wana visasi
6.hawasamehi
kwa leo tunaomba uishie katika hizo character mbili,tumeacha flagmatic na choleric ..hizo ni baadhi ya sababu kwa kuwa tunajuana nguvu na udhaifu wetu

Chimbuvu & Madame B
 
Last edited by a moderator:

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,214

Makubwa
 
Last edited by a moderator:

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
9,963

ukiona mtu anakuwa mwanafalsafa jua mb,,, imekufa!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom