Umemuona mwendawazimu?


bothlegs

bothlegs

Member
Joined
Apr 14, 2009
Messages
95
Likes
1
Points
15
bothlegs

bothlegs

Member
Joined Apr 14, 2009
95 1 15
Kuna mwendawazimu mmoja mwanaume alikuwa akitembea barabarani na panga mkononi huku aliwa hana nguo na (yaani yuko uchi wa kuzaliwa) na kichwani hana nywele ni kipara.Lakini hajanyoa mavuzi.Kuna jamaa mmoja ni miongoni mwa watu walimshuhudia yule mwendawazimu akiwa katika hali ile.yule jamaa kurudi nyumbani akaabaini mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 6 hayupo.Ikabidi amtafute.Alipomuona akamuuliza we mtoto ulikuwa wapi mimi baba yako nakutafuta.Yule mtoto akajibu nilikuwa barabarani.Baba akamuuliza mwanawe jee ulimoona yule mwendawazimu?Mtoto akajibu ndio baba,alikuwa ameshika panga na nywele kazitoa juu kaziweka chini.Baba akajibu kweli mwanangu umemuona mwendawazimu.
 

Forum statistics

Threads 1,236,081
Members 474,965
Posts 29,245,993