Kwa leo tuu, @Bujibuji ameanzisha threads takaribani 9

Soki

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
1,306
1,195
Dah! Kweli Bujibuji kapamba moto!

Threads hizo kama 9 alizozianzisha kwa leo tuu, ni mbali posts alizopost kwa leo!

Naona hawa ndo wanaochangamsha JF
 
Last edited by a moderator:

Kaizer

JF-Expert Member
Sep 16, 2008
25,270
2,000
mi Bujibuji nimemvulia kofie ile thread yake ya kutongoza kijanja ya jana/juzi kule MMU, eti kwa wadada wote wa MMU aliokwish kutana nao.....
 
Last edited by a moderator:

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
53,194
2,000
mi Bujibuji nimemvulia kofie ile thread yake ya kutongoza kijanja ya jana/juzi kule MMU, eti kwa wadada wote wa MMU aliokwish kutana nao.....
Kaizer acha bwana, mambo ya kuvujishiana ramani za vita sio mambo mazuri. Kila mtu akiwa na ramani yangu ya vita, nitaishije mjini?
 
Last edited by a moderator:

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
53,194
2,000
Hizo threads kaziandika baada ya kuzinduka toka relini alikokua amelala...
Kwani nilizinduka basi???
Mi niliweka ngumu hadi garimoshi la Mwakyembe likashindwa kupita.
Hawa watoto ndio waliokuja niondoa pale.

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom