Ngoma draw-wewe unaichakaza office ,housegirl wako anakuharibia home
Hiyo Internet ya Ofisini unavyoikomoa, umefungua blogs zote kwa mpigo, YouTube, Skype, Twitter, Facebook na Unadownload...
Hapa jirani kuna mzee mmoja alimfundisha mwanawe kuendesha gari na baada ya kuhitimu akamuahidi kumpatia gari ya kutembelea kama mwisho wa mwaka atatimiza masharti mawili.
1. Kunyoa nywele...
eti,ww ni muuza duka,kaja mteja
anahitaji kilo moja ya sukari,ila ww
una jiwe la kilo 10 na lingine la
kilo 7.
Utafanyaje apate hiyo kilo moja
anayoitaka?
Wakuu!
Msimu wa korosho ndiyo huu hapa tena unaingia...
Kipindi cha heri, kipindi cha mavuno!!
Sasa mabibo ni full available...
Binafsi nayapenda sana mabibo, juice kwa sana!
Karibuni...
Bibi kapigwa mtama na kibaka na kuporwa simu yake.Bibi akaanza kumfukuza.Baada ya kuona bibi hachoki kibaka akatupa simu chini na kuendelea kukimbia.Bibi akaokota simu yake na kuendelea...
baby ntumie bac salio elfu 1o
»»,afu ucsahau kuja naile hela ya viatu niekwambia elfu 7o na hela ya salon 50
»»c unakumbuka ile sherehe ya mdogo wangu nayo inatakiwa laki 2 hiyo nayo ya mhimu uc...
Yaani wakati wanakunawisha baada ya kunyoa , au kufanya masaji, mikono yao kama ina shoti vile, unabaki kusema tuu, aa eee, ndiooo, ee, sawa kabisa, unajibu hata bila kuulizwa mwee, sijui wachawi...
siwezi kujua:
1. saa hizi ni saa ngapi..
2. leo ni tarehe ngapi..
3. namba hata moja ya simu
4. njia iko wapi umeme unapokatika ghafla
5. majibu ya haraka haraka kwenye quiz na assignments...
WADAU IMEKAAJE WANAKUFATA WALE WA OPERATION YA KUONDOA WAMIAJI HARAMU ALAFU WANAKUULI WW RAIA WA NCHI GANI HV UKIWAMBIA MM MMAREKANI WATAKURUDISHA MAREKANI AU WATAKUPELEKE NCHI GAN?:grouphug:
baada ya kufumaniwa na mume/mke wa mtu...
umepewa nafasi tano tu za kuchagua adhabu... la sivyo utatembezwa mtaani uchi!!!!!!
haya sasa.....!!!
1... kunywa glass tatu a makohoi ya mgonjwa wa...
Janga kubwa la kushambuliwa westgate mall limewakumba wenzetu wakenya jana.Hadi sasa kuna mateka ghorofa ya tatu na ya nne na watu zaidi ya arobaini wameuawa. Wana cc naomba tuchukue muda...
Madadiito na Mashostito. Kama mlikua hamumjui figganigga Leo nimewaletea Picha yake ya ijumaa iliyopita.
Nilikua naye alipo lala nikamuacha solemba. Kijana alikunywa kilimanjaro tatu hoi...
Nimetokamo kumsindika shemeji yenu Bishanga Airport dogo.
Masaa tatu atakuwa angani.Kaniambia munipe kampani yenu kwa muda huu.
The secretary mambo ya kumusumbua mume wangu toto yako iko...
Erickb2 wewe ni mwenyekiti mpindua ukiwa bado kwenye serikali yako ya mpito umeanza kujichukulia majukumu yasiyo kuhusu wala kukihusu kiti chako.
..................
...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.